Walio na ulemavu watakiwa tathmini kabla ya kupewa viti
2026-02-21 - 10:45
Watu wanaoishi na ulemavu wametakiwa kufanyiwa tathmini ya kitaalamu kabla ya kununua au kupewa viti vya magurudumu, kufuatia wasiwasi kwamba matumizi ya vifaa visivyofaa yanasababisha matatizo ya kiafya yanayoweza kuepukika. Akizungumza wakati wa kongamano la uhamasishaji mjini Narok, balozi wa Bethany Kids, Caroline Wanjera, alionya kuwa matumizi ya aina isiyofaa ya kiti cha magurudumu yanaweza...
Share this post: