Wakaazi wa Narok Mashariki wamuomba Kamishna kusaidia kutatua mzozo unaolemaza maendeleo
2026-02-11 - 09:18
Wakaazi wa kijiji cha Olesimu katika eneo la Oletukat, Narok Mashariki sasa wanamtaka kaunti kamishna wa Narok, Bwana Kipkech Lotiatia kuingilia kati mzozo unaotokota katika kanisa la kiadventista (SDA) unaosababisha uhasama miongoni mwa waumini. Baadhi ya viongozi wa kidini wa kanisa hili wanapinga vikali mradi wa maji unaolenga kuwanufaisha takriban familia 1,000 kutoka eneo hili...
Share this post: