TheKenyaTime

Vijana waombwa kujisajili kama wapiga kura

2026-02-10 - 07:09

Gavana wa gatuzi la Narok, Patrick Ole Ntutu amewaomba vijana ambao hawajajiandikisha kama wapiga kura kuwajibika na kuhakikisha hawawachwi nyuma katika kufanya maamuzi yao ya kuchagua kiongozi bora katika uchaguzi mkuu ujao utakaofanyika mwaka wa ujao. Akiongea na wakaazi wa eneo la Mulot lililoko katika gatuzi dogo la Narok Kusini, wakati wa sherehe ya kustaafu...

Share this post: