TheKenyaTime

Kamishna awahimiza wafanyikazi wa serikali kukumbatia mfumo wa BETA

2026-02-10 - 06:57

Kaunti Kamishna wa Narok, Kipkech Lotiatia amewahimiza watumishi wote wa umma kukumbatia ajenda ya Mabadiliko ya Kiuchumi Chini ya BETA kwa lengo la kusaidia kutekeleza majukumu yao kwa manufaa ya wananchi. Akizungumza wakati wa ufunguzi rasmi wa mafunzo ya siku mbili kwa wakurugenzi wa kaunti kutoka Idara mbalimbali ikiwemo wakuu wa tarafa (ACC) na wadoga...

Share this post: